Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneAkaunti na Jalada

Kubadili namba za simu na/au simu

Kubadili namba yako ya simu ya WhatsApp

Kabla ya kuacha kutumia namba fulani ya simu, inapaswa uhamishe akaunti yako ya WhatsApp kwa namba mpya. Kwa njia rahisi ya kufanya hivi, ni kutumia kipengele chetu cha Badili Namba. Kwa kutumia kipengele hiki, utaweza kuhamisha maelezo ya akaunti yako (pamoja na maelezo ya jalada yako) pia vikundi vyako.

Jifunze zaidi kuhusu kubadili namba yako kwenye: Android | iPhone | Windows Phone

Hakikisha waasiliani wako wafute namba ya simu ya zamani kutoka kwa kitabu cha anwani cha simu na weka namba yako mpya ya simu. Kama kawaida ya watoa huduma ya simu kurudia kutumia namba, unapaswa kutarajia kuwa namba yako ya zamani itatumiwa tena na mwingine.

Kumbuka: Hauhitaji kufuta akaunti yako ya zamani. Baada ya kufanikiwa kutumia kipengele cha Badili Namba, akaunti yako ya zamani itafutwa kiotomatiki.

Kubadili simu yako

Aina nyingi za simu

Ikiwa unasafiri kutoka kwa aina moja ya simu hadi nyingine, kama vile kutoka kwa iPhone hadi kwenye Android, na kuhifadhi namba yako, utahifadhi maelezo ya akaunti yako. Maelezo haya yanahusishwa na namba ya simu. Pakua tu WhatsApp kwenye simu mpya na hakiki namba yako.

Kumbuka: Huwezi kuhamisha jumbe kwa aina tofauti za simu.

Kama unahama kutoka kwa aina moja ya simu kwenda kwa nyingine na si kuhifadhi namba yako, basi pakua WhatsApp kwenye simu mpya na uhakiki namba mpya ya simu.

Muhimu: Kumbumka kufuta akaunti yako ya zamani. Hata hivyo, ikiwa hutafuta akaunti yako na hauna tena simu yako ya zamani, usijali. Ikiwa mmiliki mpya wa namba yako ya zamani amewezesha WhatsApp kwenye simu mpya baada ya siku 45, maelezo yote ya akaunti yako yanayohusiana na namba ya simu hiyo yatafutwa kabisa.

Aina sawa ya simu

Ikiwa unahamia kwenye aina hiyo ya simu, kama vile Android hadi kwenye Android, basi unaweza kuwa na hiari ya kuhamisha jumbe zako. Jifunze zaidi kuhusu kuhamisha soga zako kwenye:Android | iPhone | Windows Phone

Baada ya kubadili simu yako

Kabla ya kupeana simu yako ya zamani, hakikisha kuifuta data yako yote. Kumbuka pia kuifuta kadi ya SD, ikiwa inafaa. Hii inahakikisha kuwa hakuna data yako ya kibinafsi, kama vile jumbe zako za WhatsApp, zitaingia kwenye mikono ya mtu mwingine.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti