Ikiwa hupokei arifa kwenye mtandao wa WhatsApp, hakikisha arifa zako zimewashwa kwenye kivinjari chako.
Washa arifa
- Kwenye kivinjari chako, bofya *Washa arifa * yenye bendera rangi ya bluu juu ya orodha yako ya soga.
- Fuata maelekezo kwenye skrini.
Dondoo: Ikiwa huoni bendera ya bluu, anzisha upya ukurasa. Ikiwa bado huoni bendera, huenda ume tuliza au kuzima arifa kwenye mipangilio ya WhatsApp.
Ruhusu arifa
- Kwenye kivinjari chako, bofya Safari > Mapendeleo... > Tovuti > Arifa.
- Kama menyu kunjuzi ya "web.whatsapp.com" imewekwa kwenye Kataza, ibadilishe kuwa Ruhusu.
Rasilimali zinazohusiana: