Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
Web na DesktopuUtatuaji

Haiwezi kupokea arifa kwenye Firefox

Ikiwa hupokei arifa kwenye WhatsApp Web, hakikisha umewasha upokeaji wa arifa kwenye kivinjari chako.

Kuwasha arifa

  1. Kwenye kivinjari chako, bofya Washa arifa kwenye eneokazi iliyopo kwenye bendera ya bluu juu ya orodha yako ya soga.
  2. Fuata maagizo kwenye skrini.

Kumbuka: Ikiwa huoni bendera ya bluu, pakia ukurasa upya. Ikiwa bado huoni bendera, huenda umetuliza au kuzima arifa kutoka kwenye mipangilio ya WhatsApp.

Kuruhusu arifa

  1. Kwenye kivinjari chako, bofya aikoni ya Menyu > Hiari.
    • Au, bofya aikoni ya Menyu > Mapendeleo.
  2. Bofya Faragha na Usalama.
  3. Chini ya Ruhusa, bofya Mipangilio… karibu na Arifa.
  4. Kama menyu kunjuzi ya "web.whatsapp.com" imewekwa kwenye Zuia, ibadilishe iwe Ruhusu.
  5. Bofya Hifadhi Mabadiliko.

Au, bofya aikoni ya kufunga karibu na "https://web.whatsapp.com/". Kama Tuma Arifa inaonyesha ikiwa Imezuiwa, bofya "x", kisha upakie ukurasa upya.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kubadilisha arifa kwenye WhatsApp Web au Desktop
  • Huwezi kupokea arifa: Chrome | Microsoft Edge | Opera | Safari
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti