Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Web na Desktop
  2. Usalama na Faragha

Kuhusu Code Verify

Code Verify huongeza safu ya ziada ya usalama kwenye ufumbaji wa mwisho hadi mwisho wakati watu wanatumia WhatsApp kwenye wavuti.

Unapopakua kiendelezi cha kivinjari cha Code Verify kutoka kwenye duka rasmi la viendelezi kwa ajili ya Google Chrome, Mozilla Firefox na Microsoft Edge, huwa kinakagua kiotomatiki ikiwa unatumia toleo halisi na lisilobadilishwa la WhatsApp Web ili uweze kuwa na uhakika kwamba ujumbe wako ni kati yako na wapokeaji uliowakusudia wala si mtu mwingine. Kiendelezi kikigundua kuwa msimbo unaotumia kuendesha WhatsApp Web si sawa na msimbo ambao kila mtu anatumia, kiendelezi kitakuarifu ili uweze kuchukua hatua.

Jinsi ya kutumia kiendelezi cha Code Verify

Kwa hali bora ya utumiaji, hakikisha umebandika kiendelezi cha Code Verify kwenye upauzana wa kompyuta yako baada ya kukipakua ili uweze kuona kiendelezi na hali yake kwa urahisi. Kisha kiendelezi cha Code Verify kitafanya kazi kiotomatiki unapotumia WhatsApp Web (web.whatsapp.com). Kiendelezi kikiwa kimebandikwa kwenye upauzana wako na msimbo wa WhatsApp Web uthibitishwe kikamilifu, kiendelezi kitaonyesha alama ya tiki katika mduara wa kijani kwenye upauzana ili kuonyesha kwamba msimbo umethibitishwa kikamilifu.

Ikiwa kiendelezi hakiwezi kuthibitisha msimbo unaotumiwa, utaona mojawapo kati ya ujumbe tatu:

  • Muda wa Mtandao Umeisha: Ikiwa ukurasa wako hauwezi kuthibitishwa kwa sababu muda umeisha katika mtandao wako, kiendelezi chako cha Code Verify kitaonyesha mduara wa rangi ya chungwa wenye alama ya kiulizi.
  • Uwezekano wa Hatari Umegunduliwa: Ikiwa kiendelezi chako kimoja au zaidi kinatatiza uwezo wetu wa kuthibitisha ukurasa, kiendelezi chako cha Code Verify kitaonyesha mduara wa rangi ya chungwa wenye alama ya kiulizi.
  • Imeshindwa Kuthibitisha: Ikiwa kiendelezi kitagundua kuwa msimbo unaoutumia kuendesha WhatsApp Web si sawa na msimbo unaotumiwa na kila mtu, aikoni ya Code Verify itageuka kuwa nyekundu na kuonyesha alama ya hisi.

Ukibofya aikoni ya kiendelezi cha Code Verify katika upauzana wakati ni kijani, rangi ya chungwa au nyekundu, utaona maelezo zaidi na ikiwa kuna tatizo, unaweza Kupata Maelezo Zaidi kuhusu jinsi ya kulitatua. Pia utaweza kupakua chanzo cha msimbo ikiwa ungependa kuchunguza suala hilo zaidi.

Kumbuka:
  • Kiendelezi cha Code Verify huthibitisha tu kuwa msimbo msingi ulio kwenye WhatsApp Web ni sawa na msimbo ambao kila mtu anautumia. Kiendelezi hakitasoma wala kufikia ujumbe unaotuma au kupokea na hatutajua ikiwa umepakua kiendelezi chenyewe.
  • Ufanisi wa kiendelezi cha Code Verify unaweza kutegemea kusimamisha au kuzima viendelezi vingine vya kivinjari unavyotumia.
  • Kiendelezi cha kivinjari cha Code Verify huthibitisha msimbo kwa WhatsApp Web na hakina athari kwa WhatsApp Desktop.
  • Kiendelezi hakihifadhi data yoyote, metadata au data ya mtumiaji na hakishiriki taarifa zozote na WhatsApp. Pia hakisomi au kufikia ujumbe unaotuma au kupokea.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kusakinisha kiendelezi cha kivinjari cha Code Verify
  • Kwa nini ninaona hitilafu ya kuisha kwa muda wa mtandao?
  • Kwa nini ninaona onyo la kugunduliwa kwa uwezekano wa hatari?
  • Kwa nini ninaona onyo la uthibitisho kutofaulu?
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti