Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Web na Desktop
  2. Upakuaji na Usakinishaji

Jinsi ya kuingia au kuondoka

Kuingia

Ili uingie kwenye WhatsApp katika WhatsApp Web, WhatsApp Desktop au Portal, unahitaji kutumia simu yako kuchanganua msimbo wa QR.

  1. Fungua WhatsApp kwenye simu yako.
    • Android: Gusa Chaguo zaidi.
    • iPhone: Nenda kwenye Mipangilio ya WhatsApp.
  2. Gusa Vifaa Vilivyounganishwa.
    • Android: Gusa UNGANISHA KIFAA. Fuata maelekezo kwenye skrini ikiwa kifaa chako kina uthibitishaji wa bayometriki. Ikiwa hujawasha uthibitishaji wa bayometriki, utaombwa uweke PIN ambayo huwa unatumia kufungua simu yako.
    • iPhone: Gusa Unganisha Kifaa. Kwenye iOS 14 na matoleo ya baadaye, tumia Touch ID au Face ID kufungua. Ikiwa hujawasha uthibitishaji wa bayometriki, utaombwa uweke PIN ambayo huwa unatumia kufungua simu yako.
  3. Tumia simu yako kuchanganua msimbo wa QR ulio kwenye kompyuta au Portal yako.
  4. Ukiulizwa, gusa au chagua Nimemaliza.

Kumbuka: Uthibitishaji hushughulikiwa na mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako kwa kutumia alama za bayometriki zilizohifadhiwa humo. WhatsApp haiwezi kufikia taarifa za bayometriki zilizohifadhiwa kwenye mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako.

Kuondoka

Unaweza kutoka kwenye WhatsApp Web au WhatsApp Desktop kutokea kwenye simu yako, kompyuta au kifaa cha Portal.

Kutoka kwenye kompyuta au Portal yako
  1. Fungua WhatsApp Web au WhatsApp Desktop.
  2. Bofya Menyu ( au ) juu ya orodha ya soga zako > Toka.
Kutoka kwenye akaunti ukitumia simu yako
  1. Fungua WhatsApp kwenye simu yako.
    • Android: Gusa Chaguo zaidi > Vifaa Vilivyounganishwa.
    • iPhone: Nenda kwenye WhatsApp Mipangilio > gusa Vifaa Vilivyounganishwa.
  2. Gusa kifaa.
  3. Gusa TOKA.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Kuhusu WhatsApp Web na WhatsApp Desktop
  • Jinsi ya kupakua WhatsApp Desktop
  • Jinsi ya kuongeza au kuondoa akaunti yako ya WhatsApp kwenye Portal
  • Imeshindwa kuunganisha WhatsApp

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti