Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Web na Desktop
  2. Soga

Kuhusu viungo vinavyoshukiwa

Kwa baadhi ya viungo unavyopokea kwenye soga, unaweza kuona kiashirio cha kiungo kinachoshukiwa.

Kiashirio hiki kinaweza kuonekana wakati kiungo kina mchanganyiko wa herufi ambazo huchukuliwa kuwa si za kawaida. Matapeli wanaweza kutumia mchanganyiko wa herufi kukudanganya kugusa viungo unavyoweza kudhani vinaelekeza kwenye tovuti sahihi, lakini vikakupeleka kwenye tovuti ya kuhadaa.

Huu hapa mfano wa kiungo cha kutilia shaka:

https://ẉhatsapp.com/free-tickets

Angalizo: Herufi ya kwanza inaonekana kama herufi "w" lakini badala yake ni herufi "ẉ", ina maana kwamba tapeli anaweza kuwa amekudanganya ukatembelea tovuti ambayo haihusiani na WhatsApp.

Unapopokea viungo, kagua kwa makini maudhui ya ujumbe huo. Kiungo kikiwa kimewekewa alama ya kushukiwa, unaweza kugusa kiungo halafu ujumbe ibukizi utatokea, ambao utaonyesha herufi zisizo za kawaida kwenye kiungo hicho. Kisha unaweza kuchagua kufungua kiungo au kurudi kwenye soga.

WhatsApp hufanya ukaguzi wa kiotomatiki kubaini ikiwa kiungo ni cha kutilia shaka. Ili kulinda faragha yako, ukaguzi huu hufanyika kikamilifu kwenye kifaa chako, na kwa sababu ya ufumbaji wa mwisho hadi mwisho, WhatsApp haiwezi kuona maudhui ya ujumbe wako.

Ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuwa salama kwenye WhatsApp, soma makala haya.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti