Mapendeleo ya arifa yanaweza kusimamiwa kwenye mipangilio ya WhatsApp.
Fungua WhatsApp Web/Desktop > bofya Menyu (
Hapa unaweza kufanya mabadiliko kwenye:
Sauti
Arifa za Desktop
Onyesha Mwonekano
Unaweza pia kuzima arifa zote za soga na sauti kwa muda fulani maalum. Kuwasha arifa tena, bofya Zima arifa na sauti.Bofya kurejesha. (
Kuwasha arifa tena, tafuta soga zilizotulizwa na bofya Menyu
Kumbuka: Ukituliza soga ya kikundi au kibinafsi kwenye simu yako, itatulizwa pia kwenye WhatsApp Web na Desktop. Mipangilio yote mingine ya arifa ni huru kutoka kwa simu yako na kompyuta na haziarithiani.