Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
Web na DesktopSoga

Jinsi ya kufanya mabadiliko kwenye vikundi

Kwa chaguomsingi, mshiriki yeyote wa kikundi anaweza kubadili mada, aikoni, maelezo ya kikundi au kutuma ujumbe. Hata hivyo, msimamizi anaweza kubadili mipangilio ya kikundi ili kuruhusu wasimamizi pekee kuhariri maelezo ya kikundi.

Kubadili maelezo ya kikundi

Kubadili mada ya kikundi
  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha ubofye mada ya kikundi.
    • Au, bofya Menyu ( au ) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
  2. Bofya Hariri iliyo upande wa kulia wa mada ya kikundi.
  3. Weka mada mpya, kisha bofya alama ya tiki ya kijivu ili uhifadhi.
    • Ukomo wa mada ni herufi 25.
    • Unaweza kuweka emoji kwenye mada yako kwa kubofya aikoni ya Emoji.
Kubadili aikoni ya kikundi
  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha ubofye mada ya kikundi.
    • Au, bofya Menyu ( au ) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
  2. Fanya kiashiria kielee juu ya aikoni, kisha bofya BADILISHA AIKONI YA KIKUNDI.
  3. Chagua Kutazama picha, Kupiga picha, Kupakia picha, au Kutafuta kwenye Wavuti ili kuweka picha mpya au Kuondoa picha. Kutafuta kwenye Wavuti kunapatikana kwenye WhatsApp Desktop pekee.
Kubadili maelezo ya kikundi
  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha ubofye mada ya kikundi.
    • Au, bofya Menyu ( au ) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
  2. Bofya Hariri iliyo upande wa kulia wa maelezo ya kikundi.
  3. Weka maelezo mapya, kisha bofya alama ya tiki ya kijivu ili uhifadhi.
    • Unaweza kuweka emoji kwenye maelezo yako kwa kubofya aikoni ya Emoji.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kubadilisha mipangilio ya usimamizi wa kikundi

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti