Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Web na Desktop
  2. Soga

Jinsi ya kuondoka kwenye kikundi na kufuta vikundi

Unaweza kuwafutia washiriki wote kikundi ikiwa wewe ni msimamizi wa kikundi husika. Kabla ya kufuta kikundi ni sharti uondoe washiriki wote wa kikundi, kisha uondoke kwenye kikundi.

Ukifuta kikundi, hutakiona tena katika orodha ya soga zako na historia ya soga itafutwa kwenye simu yako. Washiriki wengine bado wataona kikundi kwenye orodha ya soga zao. Hata hivyo, hamna atakayeweza kutuma ujumbe.

Kuondoa washiriki wa kikundi

  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha ubofye mada ya kikundi.
  2. Bofya Menyu karibu na jina la mshiriki > Ondoa > ONDOA.

Kuondoka kwenye kikundi

Ili ufute kikundi, ni sharti kwanza uondoke kwenye kikundi.

  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha ubofye mada ya kikundi.
    • Au, elea juu ya kikundi kwenye orodha ya soga zako, kisha bofya Menyu.
  2. Bofya Ondoka kwenye kikundi > ONDOKA.

Kufuta kikundi

Baada ya kuondoka kwenye kikundi, utakuwa na chaguo la kufuta kikundi hicho.

  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha ubofye mada ya kikundi.
    • Au, fanya kiashiria kielee juu ya kikundi kwenye orodha ya soga zako, kisha bofya Menyu.
  2. Bofya Futa kikundi > FUTA.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti