Jinsi ya kunyarakisha au kutoa nyarakani soga au kikundi
Kipengele cha kunyarakisha kinakuruhusu kuficha soga za kibinafsi au kikundi kutoka kwa orodha ya soga zako ili kupanga mazungumzo yako.
Kumbuka: Kunyarakisha soga hakutafuta soga.
Nyakirisha soga au kikundi
- Vinjari juu ya soga binafsi au kikundi unachotaka kunyarakisha, kisha bofya Menyu (
). - Bofya Nyarakisha soga.
Toa nyarakani soga au kikundi
- Tafuta jina la mwasiliani au mada ya kikundi.
- Mbadala, bofya Menyu (
au ) juu ya orodha yako ya soga > Nyarakisha.
- Mbadala, bofya Menyu (
- Vinjari juu ya soga ya kibinafsi au kikundi unayotaka kutoa nyarakani, kisha bofya Menyu
> Toa soga nyarakani.
Rasilimali zinazohusiana:
Jinsi ya kunyarakisha au kutoa nyarakani soga au kikundi: Android | iPhone | KaiOS