Kuongeza na kuondoa washiriki wa kikundi
Unaweza kuongeza au kuwaondoa washiriki kwenye kikundi ikiwa wewe ndiwe msimamizi wa kikundi.
Kuongeza washiriki
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp.
- Bofya mada ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
au ) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
- Bofya Ongeza mshiriki
. - Tafuta au chagua mwasiliani wa kuongeza kwenye kikundi.
- Bofya tiki ya kijani
. - Bofya ONGEZA MSHIRIKI.
Kuondoa washiriki
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp.
- Bofya mada ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
au ) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
- Fanya kiashiria kuelee juu ya jina la mshiriki unayetaka kumwondoa, kisha bofya Menyu
. - Bofya Ondoa > ONDOA.