Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Kutumia vibandiko


Kupakua na kutumia vibandiko:

  1. Fungua soga yoyote ya kibinafsi au kikundi.
  2. Kwenye sehemu ya maandishi, gusa Vibandiko .
  3. Kuongeza vifurushi vya kibandiko, gusa Ongeza .
  4. Kwenye ibukizi ya Vibandikoinayoonekana, gusa Pakua iliyo karibu na furushi la kibandiko unachotaka kupakua. Ukiulizwa, gusa Pakua • {kubwa wa faili}.
    • Alama hakikishi itatokea mara tu upakuaji umekamilika.
  5. Telezesha chini kwa ibukizi cha Vibandiko.
  6. Pata na gusa kibandiko unachotaka kutuma.
    • Tafadhali kumbuka kwamba mara tu unapogusa kibandiko, kitatumwa kiotomatiki.
Hiari ziada:
  • Gusa Hivi Karibuni kutazama vibandiko ulivyotumia hivi karibuni
  • Gusa Mapendeleo kutazama vibandiko unayopendelea.
    • Kufanya kibandiko kiwe kwenye mapendeleo, gusa kidogo kibandiko kwenye soga ya kibinafsi au kikundi > Ongeza kwenye Mapendeleo. Mbadala, gusa Vibandiko . Mara tu unapopata kibandiko unachotaka kuweka kwenye mapendeleo, halafu gusa Ongeza kwenye Mapendeleo.
    • Kufanya kibandiko kisiwe kwenye mapendeleo, gusa kidogo kibandiko kwenye soga ya kibinafsi au kikundi > Ondoa kwenye Mapendeleo. Mbadala, gusa Vibandiko > Mapendeleo . Mara tu unapopata kibandiko unachotaka kuondoa kwenye mapendeleo, basi gusaOndoa kwenye Mapendeleo.
  • Ukigusa sanduku la moyo , itaonyesha ikoni la kundi la furushi la kibandiko, ambapo vibandiko vimepangwa kufuatia emoji zilizoonyeshwa kwenye ikoni.
    • Mfano: Kugusa sanduku la moyo kutaleta vibandiko vyovyote vilivyo na moyo.
  • Kutazama vifurushi vya kibandiko ulivyopakua, gusa Ongeza > Vibandiko Vyangu. Ukitaka kufuta furushi la kibandiko fulani, gusa kifurushi la kibandiko > Futa > Futa. Kuagiza tena vifurushi vya kibandiko, gusa na shikilia, Agiza tena iliyopo karibu na furushi la kibandiko, halafu ivute juu au chini.
  • Wakati furushi la kibandiko linahitaji kusasishwa, gusa Ongeza kitone cha bluu kitatokea. Kwenye tab ya Vibandiko Vyote, gusa SASISHA karibu na vifurushi vya vibandiko vinavyohitaji kusasishwa. Ukiulizwa, gusa Sasisha • {ukubwa wa faili}.
    • Alama hakikishi itatokea mara tu sasisho itakamilika.

Vibandiko vinapatikana kwenye toleo la karibuni la WhatsApp. Ikiwa huoni vibandiko, tafadhali hakikisha WhatsApp imesasishwa. Jifunze jinsi ya kutumia vibandiko kwa: Android

Jifunze jinsi ya kuunda vibandiko vya WhatsApp kutoka kwenye nakala hii.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti