Ujumbe wa sauti ya WhatsApp unakuruhusu kuwasiliana papo hapo na waasiliani na vikundi. Inatoa uzoefu wa kuvutia wa soga, na unaweza kutumia ili kutoa taarifa muhimu na za wakati. Kwa hivyo, ujumbe wote wa sauti hupakuliwa kiotomatiki.
Unapokuwa unanakili ujumbe wa sauti, unaweza kutelezesha kushoto ili kuisitisha .
Unapokuwa unanakili ujumbe wa sauti ulio ndefu zaidi, unaweza kugusaSitisha kuisitisha.
Kumbuka: Kwenye simu zingine, unaweza kungoja sekunde moja kabla ya kuzungumza kama mwanzo wa ujumbe wako haunakiliki.
Gusa Cheza kusikiliza ujumbe wa sauti uliotuma au kupokea.
Shika simu karibu na sikio lako ili kucheza ujumbe kupitia kipaza sauti cha simu yako au ushike simu mbali na kichwa chako ili usikilize ujumbe kwenye kipaza sauti cha simu. Kipaza sauti cha kichwani kinapounganishwa, jumbe za sauti zitachezwa kwa kupitia kipaza sauti cha kichwani.
Kwenye jumbe za sauti zilizopokelewa utaona:
Kwenye jumbe za sauti zilizotumwa utaona:
Jifunze jinsi ya kutumia jumbe kwenye: Android | Windows Phone