Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kufanya mabadiliko kwenye vikundi

Kwa kawaida, washiriki wowote wa kikundi wanaweza kubadili mada, ikoni, maelezo au kutuma jumbe. Hata hivyo, mtawala wa kikundi anaweza kubadilisha mipangilio ya kikundi kuruhusu watawala tu kuhariri maelezo ya kikundi au kutuma jumbe.

Badili mipangilio ya kikundi

Kubadili mipangilio ya kikundi kwa kuhariri maelezo ya kikundi:
  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa Mipangilio ya kikundi > Hariri maelezo ya kikundi.
  3. Chagua kuruhusu Washiriki wote au Watawala tu kuhariri maelezo ya kikundi.
  4. Gusa SAWA.
Kubadili mipangilio ya kikundi kwa kutuma jumbe:
  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa Mipangilio ya kikundi > Kutuma jumbe.
  3. Chagua kuruhusu Washiriki wote au Watawala tu kutuma jumbe.
  4. Gusa SAWA.

Kumbuka: Washiriki wanaweza kuwasiliana na mtawala moja kwa moja kwa kugusa watawala kwenye kikundi, kisha gusa jina la mtawala wanayetaka kumtumia ujumbe.

Badili mada ya kikundi

Kubadili mada:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa Hariri upande wa kulia wa mada ya kikundi.
  3. Ingiza mada mpya, kisha gusa SAWA.
    • Kikomo cha mada ni herufi 25.
    • Unaweza kuongeza emoji kwenye mada kwa kugusa ikoni ya Emoji .

Badili ikoni ya kikundi

Kubadili ikoni:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa ikoni ya kikundi > Hariri .
  3. Chagua kutumia Matunzio yako, Kamera au Tafuta Mtandaoni kwa picha mpya au unaweza Ondoa ikoni.

Badili maelezo ya kikundi

Kubadili maelezo:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia tab ya kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa maelezo ya kikundi.
  3. Ingiza maelezo mapya, kisha gusa SAWA.
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti