Unapouliziwa msimbo wa QR,tumia kikaguzi cha QR ndani ya WhatsApp kuikagua.
Kufanya hivyo, fungua WhatsApp kwenye simu yako.
Kwa Android: kwenye Soga skrini > Hiari zaidi > WhatsApp Web.
Kwa iPhone: nendaMipangilio > WhatsApp Web.
Kwa Windows Phone: kwenye Soga skrini > nenda Menyu > WhatsApp Web.
Kagua msimbo wa QR kwenye skrini ya kompyuta yako kwa kutumia simu yako.
Kujitoa ndani ya Desktop kutoka kwa WhatsApp
Nenda kwa WhatsApp kwenye simu yako > Nenda Mipangilio au Menyu.
Gusa WhatsApp Web > Jitoe kwenye vifaa vyote > Jitoe.
Ukiamini kuwa mtu amekagua msimbo wako wa QR na ana upatikanaji wa akaunti yako kupitia WhatsApp Web, tumia maelekezo hapo juu ili ujitoe kutoka kwenye vipindi vyote vya tovuti kwenye WhatsApp kwenye simu ya rununu.
Kumbuka: Ikiwa huwezi kukagua msimbo wa QR, hakikisha kuwa kamera kuu kwenye simu yako inafanya kazi vizuri. Ikiwa kamera haiwezi kuzingatia kiotomatiki, ina ukungu au imevunjika, labda hauwezi kukagua msimbo wa kibao. Kwa sasa, hakuna njia nyingine ya kuingia kwenye WhatsApp kwa kompyuta yako.