Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
Windows PhoneSoga

Kutumia mahali mubashara

Kipengele cha Mahali mubashara kinakuruhusu kushirikisha mahali pako pamuda mubashara kwa kiasi fulani cha muda. Unaweza kuchagua kushirikisha mahali pako mubashara na washiriki wa soga ya kibinafsi au kikundi. Kwenye simu yako Mipangilio chini ya faragha, gusa mahali > washa Huduma za mahali. Kisha washa WhatsApp.

Unaweza kudhibiti kama unataka na kwamuda gani unataka kushirikisha mahali pako mubashara. Pia unaweza kusitisha kushirikisha mahali mubashara wakati wowote.

Unaposimamisha au muda ukiisha, mahali mubashara hapataendelea kushirikishwa. Hata hivyo, washiriki kwenye soga uliyowashirikisha mahali mubashara wataendelea kuona mahali pa awali uliposhirikisha. Hii itaonekana kama picha tu ya kijivu kwenye soga.

Kipengele hiki kina ufumbaji wa mwisho-mwisho, ambayo inamaanisha hakuna mtu anayeweza kuona mahali mubashara isipokuwa watu uliowashirikisha. Kujifunza zaidi kuhusu usalama kwenye WhatsApp, tafadhali tembelea Usalama wa WhatsApp. Unaweza pia kusoma Sera yetu ya Faragha kwa maelezo zaidi kuhusu mazoezi ya faragha ya WhatsApp.

Kushirikisha mahali pako mubashara

  1. Fungua soga.
  2. Gusa ikoni ya kibanio cha karatasi > Mahali > shirikisha mahali mubashara.
  3. Chagua urefu wa muda utakaopenda kushirikisha mahali pako mubashara. Mahali pako mubashara pataacha kushirikishwa baada ya muda uliyochagua.
  4. Gusa ikoni ya tuma.

Kuacha kushirikisha mahali pako mubashara

Kuacha kushirikisha mahali pako mubashara katika soga fulani
  1. Fungua soga.
  2. Gusa acha kushirikisha > acha.
Kuacha kushirikisha mahali mubashara kwa soga zote
  1. Fungua WhatsApp na gusa Zaidi > mipangilio > akaunti > faragha.
  2. Chini ya Mahali mubashara, gusa Kushikirisha kwa {namba ya soga}.
  3. Gusa acha kushirikisha > acha.

Kumbuka: Unaweza kuzima ruhusa ya mahali wakati wowote kwa kwenda kwenye simu yako Mipangilio. Chini ya faragha, gusa mahali > zima WhatsApp. Kisha zima Huduma za mahali.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti