Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. WhatsApp Business ya iPhone
  2. Akaunti na Jalada

Jinsi ya kushiriki bidhaa au huduma na wateja

Unaweza kushiriki bidhaa na huduma zako na wateja wapya na waliopo kwa kushiriki katalogi yako.

Kushiriki katalogi yako kwenye soga ya binafsi au soga ya kikundi

  1. Fungua soga kwenye programu ya WhatsApp Business.
  2. Gusa Ambatisha kando ya sehemu ya maandishi. Kisha, gusa Katalogi.
  3. Gusa Tuma .

Kushiriki bidhaa au huduma kwenye soga ya binafsi au soga ya kikundi

  1. Fungua soga kwenye programu ya WhatsApp Business.
  2. Gusa Ambatisha kando ya sehemu ya maandishi. Kisha, gusa Katalogi.
  3. Teua bidhaa au huduma unayopenda kushiriki.
  4. Gusa Tuma .

Kushiriki katalogi nzima

  1. Fungua programu ya WhatsApp Business.
  2. Gusa Chaguo zaidi> Zana za biashara > Katalogi.
  3. Gusa Chaguo zaidi > Shiriki.
  4. Kisha unaweza kutuma kiungo kwa watu walio kwenye anwani zako au wateja watarajiwa kupitia programu ya WhatsApp Business au ushiriki kiungo kupitia barua pepe au programu nyingine za kutuma ujumbe.

Kushiriki bidhaa au huduma mahususi

  1. Fungua programu ya WhatsApp Business > Mipangilio > Zana za Biashara > Katalogi.
  2. Teua bidhaa au huduma unayopenda kushiriki.
  3. Gusa Chaguo zaidi.
  4. Kisha unaweza kusambaza au kushiriki bidhaa au huduma mahususi na walio kwenye anwani zako au wanunuzi watarajiwa kwa kuchagua hiari zifuatazo:
    • Sambaza bidhaa : Kushiriki bidhaa moja kwa moja na walio kwenye anwani zako kupitia kwenye programu ya WhatsApp Business.
    • Shiriki: Kushiriki kiungo cha bidhaa kupitia programu ya WhatsApp Business, barua pepe au programu nyingine za kutuma ujumbe.

Kumbuka: Katalogi na viungo vya bidhaa haviwezi kubadilishwa kabla ya kushirikiwa kwa sababu vinatolewa kiotomatiki.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti