Jinsi ya kuhariri jalada lako la biashara
Jalada lako la biashara linakuruhusu kuongeza maelezo kuhusu kampuni yako, pamoja na jina la biashara, anwani, aina, maelezo, barua pepe na tovuti. Watu wanaweza kuona kwa urahisi maelezo haya wanapoangalia jalada lako.
Kuhariri jalada lako la biashara:
- Fungua programu ya WhatsApp Business > Gusa Mipangilio > Zana za biashara > Jalada la Biashara.
- Gusa kwenye sehemu yoyote kusasisha > Hifadhi.