Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. WhatsApp Business ya Android
  2. Upakuaji na Usakinishaji

Jinsi ya kupakua programu ya WhatsApp Business

Programu ya WhatsApp Business ni programu inayoweza kupakuliwa bila malipo kwa ajili ya biashara ndogo.

Kabla ya kupakua programu, tafadhali fahamu yafuatayo:

  • Ikiwa una akaunti ya WhatsApp Messenger, unaweza kuhamisha akaunti yako kwa urahisi, ikiwa ni pamoja na historia ya soga na maudhui, kwenye akaunti mpya ya WhatsApp Business.
  • Historia yako ya soga haiwezi kurudishwa kwenye WhatsApp Messenger ukiamua kuacha kutumia programu ya WhatsApp Business.
  • Unaweza kutumia programu ya WhatsApp Business na pia WhatsApp Messenger wakati huo huo ilimradi akaunti ziwe zimeunganishwa na nambari tofauti za simu. Haiwezekani kuwa na nambari moja ya simu inayohusishwa na programu zote mbili kwa wakati mmoja.

Ili usakinishe programu ya WhatsApp Business:

  1. Pakua programu ya WhatsApp Business kutoka kwenye Duka la Google Play.
  2. Thibitisha nambari yako ya simu ya biashara.
  3. Rejesha akaunti yako kutoka kwenye hifadhi ya nakala, ikiwa unapendelea kufanya hivyo.
  4. Weka jina lako la biashara.
  5. Unda jalada lako. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > jina la biashara yako.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kusasisha programu ya WhatsApp Business
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti