Kwa kutumia majibu ya haraka, unaweza kuunda njia za mkato za kibodi kwa ujumbe unaotuma mara nyingi. Unaweza kutumia majibu ya haraka kwa maandishi au ujumbe wa maudhui, kama vile GIF, picha na video.
Kuweka majibu ya haraka:
Weka neno la msingi ili uweze kulipata upesi.
Kumbuka: Maneno ya msingi ni muhimu katika kuchagua kama una majibu mengi ya haraka yaliyohifadhiwa kwenye orodha yako. Unaweza kuongeza mpaka maneno matatu ya msingi kwa kila jibu la haraka.
Kutumia majibu ya haraka:
Kupanga majibu haraka
Ikiwa una majibu mengi ya haraka yaliyowekwa awali, unaweza kuyachagua kwenye orodha yako kwa kutumia maneno msingi na matumizi. Maneno msingi ya ujumbe wa haraka yanayoonekana kwenye mazungumzo ya sasa yanaonekana kwanza, yakifuatwa na majibu ya haraka ambayo yalitumika sana hivi karibuni.
Kwa mfano: Kama una majibu ya haraka yaliyohifadhiwa ya tukio maalumu ya mwezi, unaweza kuongeza maneno msingi kama vile “maalumu” na “kila mwezi” kwenye jibu la haraka. Sasa, wakati ujumbe kutoka kwa mteja una mojawapo ya maneno hayo, jibu la haraka litawekwa juu. Ikiwa majibu mengine ya haraka yanalingana na maneno msingi, yatapangwa kwa kialfabeti.
Kwa nini siwezi kuhifadi majibu yangu ya haraka?
Kuna vikwazo fulani unavyofaa kukumbuka wakati unahifadhi majibu yako ya haraka. Navyo ni pamoja na:
Kumbuka: Emoji zinaweza kutumika katika njia mkato na majibu ya haraka. Faili za maudhui haziwezi kutumika kwenye toleo la tovuti. Unaweza kutuma majibu ya haraka ya maandishi pekee unapotumia WhatsApp Business kwenye tovuti au kompyuta.