Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
WhatsApp Business ya AndroidAkaunti na Jalada

Kutumia ujumbe wa kuwa mbali

Unapokuwa na shughuli nyingi au uko nje ya ofisi, unaweza kuweka ujumbe wa kuwa mbali ili kutuma ujumbe kiotomatiki kwa waasiliani wako wote au baadhi yao. Unaweza pia kupanga ratiba ya ujumbe wa kuwa mbali ili kuwasha kiotomatiki wakati fulani, kwa mfano, wakati biashara yako imefungwa.

Kuweka ujumbe wa kuwa mbali:

  1. Gusa Hiari zaidi > Zana za biashsra > Ujumbe wa kuwa mbali.
  2. Washa Tuma ujumbe wa kuwa mbali.
  3. Gusa ujumbe ili kuuhariri > OK.
  4. Chini ya Ratiba, gusa na chagua kati ya:
    • Wakati wote tuma kutuma ujumbe wa kiotomatiki wakati wote.
    • Ratiba ya kawaida kutuma ujumbe kiotomatiki wakati maalumu tu.
    • Nje ya masaa ya biashara kutuma ujumbe wa kiotomatiki nje ya masaa ya biashara tu. Hiari hii inapatikana tu kama umeweka masaa yako ya biashara kwenye jalada lako la biashara. Jifunze jinsi kwenye makala hii.
  5. Chini ya Wapokeaji, gusa na chagua kati ya:
    • Kila mmoja kutuma ujumbe wa kiotomatiki kwa yeyote anayekutumia ujumbe nje ya masaa ya biashara.
    • Kila mmoja asiyepo kwenye kitabu chako cha anwani kutuma ujumbe wa kiotomatiki kwa nambari ambazo hazipo kwenye kitabu chako cha anwani.
    • Kila mmoja isipokua... kutuma ujumbe wa kiotomatiki kwa kila nambari isipokuwa chache zilizochaguliwa.
    • Tuma tu kwa... kutuma ujumbe wa kiotomatiki kwa waasiliani waliochaguliwa.
  6. Gusa Hifadhi.

Dokezo: Ujumbe wa kuwa mbali unatumwa tu wakati simu yako ina muunganisho wa intaneti amilifu.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti