Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. WhatsApp Business ya Android
  2. Akaunti na Jalada

Jinsi ya kuunda na kudumisha katalogi

Katalogi iliyosasishwa hufanya kuwa rahisi kwa wateja wako kuingiliana na biashara yako. Pia husaidia kuonyesha bidhaa na huduma zako mpya.

Kuongeza bidhaa au huduma kwenye katalogi yako

  1. Fungua programu ya WhatsApp Business > Chaguo zaidi > Mipangilio > Zana za Biashara > Katalogi.
    • Ikiwa unaunda katalogi mpya, gusa Ongeza bidhaa mpya.
  2. Gusa aikoni ya jumlisha, kisha Ongeza Picha.
  3. Gusa Matunzio ili upakie picha kutoka kwenye Picha zako au Kamera ili upige picha mpya. Unaweza kupakia hadi picha 10.
  4. Toa jina la bidhaa au huduma. Unaweza pia kutoa maelezo ya hiari kama vile bei, maelezo, kiungo cha tovuti na bidhaa au msimbo wa huduma ya bidhaa iliyopakiwa.
  5. Gusa HIFADHI.

Kudhibiti ni bidhaa au huduma zipi wateja wanaweza kuona

Kumbuka: Huenda bado usiweze kutumia kipengele hiki.

Kuficha bidhaa za katalogi
  1. Fungua programu ya WhatsApp Business > Chaguo zaidi > Mipangilio > Zana za Biashara > Katalogi.
  2. Unaweza kuficha kitu kimojakimoja au vingi kwa pamoja.
    1. Ili ufiche kitu kimoja, kiguse ili ufungue ukurasa wa maelezo ya bidhaa hiyo. Kisha, gusa Chaguo zaidi > Ficha > FICHA.
    2. Ili ufiche vitu kwa pamoja, bonyeza na ushikilie mojawapo ya vitu unayotaka kuficha mpaka alama ya kijani ionekane. Kisha, gusa vitu vingine unavyotaka kuficha > Ficha > FICHA.

Bidhaa ulizoficha bado zitaonekana kwenye kidhibiti chako cha katalogi zikiwa na juu ya picha ya bidhaa. Ukifungua ukurasa wa maelezo ya bidhaa, pia utaona dondoo inayoonyesha kuwa umeficha bidhaa hii.

Kufichua bidhaa za katalogi
  1. Fungua programu ya WhatsApp Business > Chaguo zaidi > Mipangilio > Zana za Biashara > Katalogi.
  2. Unaweza kufichua kitu kimojakimoja au vingi kwa pamoja.
    1. Ili ufichue kitu kimoja, kiguse ili ufungue ukurasa wa maelezo ya bidhaa hiyo. Kisha, gusa Chaguo zaidi > Fichua > FICHUA.
    2. Ili ufichue vitu kwa pamoja, bonyeza na ushikilie mojawapo ya vitu unayotaka kuficha mpaka alama ya kijani ionekane. Kisha, gusa bidhaa unayotaka kufichua > Fichua > FICHUA.

Kufuta bidhaa au huduma kutoka kwenye katalogi yako

  1. Fungua programu ya WhatsApp Business > gusa Chaguo zaidi > Mipangilio> Zana za Biashara > Katalogi.
  2. Bonyeza na ushikilie picha ya bidhaa au huduma unayotaka kufuta.
  3. Gusa aikoni ya Futa, kisha gusa NDIYO.

Mbadala, chagua picha ya bidhaa au huduma unayotaka kuifuta. Kisha, gusa Chaguo zaidi > Futa > FUTA.

Kumbuka:

  • Kila picha inayopakiwa kwenye katalogi itakaguliwa. Ukaguzi unasaidia kuthibitisha kuwa picha, bidhaa au huduma zinakidhi Sera za Biashara ya WhatsApp.
  • Ikiwa akaunti yako ya WhatsApp Business imeunganishwa na duka la Facebook na umewasha WhatsApp kuwa kituo cha mauzo, nafasi ya katalogi yako ya WhatsApp huchukuliwa na duka lako la Facebook kwa kawaida. Hatua hii haitafuta au kubadilisha katalogi yako ya WhatsApp, lakini wewe na wateja wako hamtaiona. Unaweza kurudi kwenye katalogi yako ya WhatsApp wakati wowote kwa kuzima au kuficha WhatsApp isiwe kituo cha mauzo. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti kituo chako cha mauzo kwenye Kidhibiti cha Biashara katika makala haya.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti