Ili kudumisha faragha na ukaribu ndani wa WhatsApp, tuna kikomo cha kusambaza ujumbe. Unaposambaza ujumbe unaweza kuchagua kushirikisha hadi soga tano kwa mara moja.
Ujumbe unaposambazwa kutoka kwa mtumiaji mmoja kwa mwingine zaidi ya mara tano, hii inaashiriwa na ikoni ya mishale miwili . Idadi ya mara ujumbe ulisambazwa imefumbwa mwisho-kwa-mwisho.