Kipengele cha Bandika soga kinakuruhusu kubandika mpaka soga tatu maalum kwenye upande wa juu wa orodha yako ya soga. Soga zilizobandikwa zitakuwa juu kila mara ili uweze kuzipata kwa haraka.