Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
Windows PhoneSoga

Kutumia Jumbe za Sauti

Ujumbe wa sauti wa WhatsApp unakuruhusu kuwasiliana papo hapo na waasiliani na vikundi. Inatoa uzoefu wa kuvutia wa soga, na unaweza kutumia ili kutoa taarifa muhimu na za wakati. Kwa hivyo, jumbe zote za sauti hupakuliwa kiotomatiki.

Kutuma ujumbe wa sauti

  1. Fungua soga.
  2. Gusa na shikilia kinasa sauti na anza kuzungumza.
  3. Unapomaliza, ondoa kidole kwenye kitufe cha kinasa sauti. Ujumbe wa sauti utatumwa kiotomatiki.

Unapokuwa unarekodi ujumbe wa sauti, unaweza kutelezesha kushoto ili kusitisha.

Kumbuka: Kwenye simu zingine, unaweza kungoja sekunde moja kabla ya kuzungumza kama mwanzo wa ujumbe wako haurekodiwi.

Kucheza ujumbe wa sauti

Gusa Cheza kusikiliza ujumbe wa sauti uliotuma au kupokea.

Shikilia simu karibu na sikio lako ili kucheza ujumbe kupitia kipaza sauti cha simu yako au ushike simu mbali na kichwa chako ili usikilize ujumbe kwenye kipaza sauti cha simu. Kipaza sauti cha kichwani kinapounganishwa, jumbe za sauti zitachezwa kwa kupitia kipaza sauti cha kichwani.

Kwenye jumbe za sauti zilizopokelewa utaona:

  • Kinasa sauti cha kijani kwenye jumbe za sauti ambazo hujacheza.
  • Kinasa sauti cha bluu kwenye jumbe za sauti ambazo umecheza.

Kwenye jumbe za sauti zilizotumwa utaona:

  • Kinasa sauti cha kijivu kwenye jumbe za sauti ambazo mpokeaji hajacheza.
  • Kinasa sauti cha bluu kwenye jumbe za sauti ambazo mpokeaji amecheza.

Jifunze jinsi ya kutumia ujumbe wa sauti kwenye: Android | iPhone

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti