Unaweza kutuma jumbe za salamu kiotomatiki kwa wateja wanapo kutumia ujumbe mara ya kwanza, au baada ya siku 14 za kutokuwa na soga nao.
Kuweka ujumbe wa salamu:
- Gusa Hiari zaidi
> Mipangilio > Mipangilio ya biashara > Ujumbe wa salamu.
- Washa Tuma ujumbe wa salamu.
- Hariri ujumbe kwa kuigusa.
- Chini ya Mpokeaji, gusa na chagua kati ya:
- Kila mtu kutuma ujumbe wa salamu kwa mtu yeyote anayekutumia ujumbe baada ya masaa ya biashara tu.
- Kila mtu asiyekuwepo kwenye kitabu chako cha anwani kutuma ujumbe wa salamu kwa namba ambazo hazipo kwenye kitabu chako cha anwani.
- Kila mtu isipokua... kutuma ujumbe wa salamu kwa namba zote isipokuwa chache zilizochaguliwa.
- Tuma tu kwa... kutuma ujumbe wa salamu kwa wapokeaji waliochaguliwa.
- Gusa HIFADHI.
Kumbuka: Jumbe za salamu zinatumwa tu wakati simu yako ina muunganisho wa intaneti inayofanya kazi.