Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Kuelewa Kaonwa na mtandaoni

Kaonwa na mtandaoni hukuambia mara ya mwisho waasiliani wako walitumia WhatsApp, au ikiwa wapo mtandaoni.

Mwasiliani akiwa mtandaoni, amefungua WhatsApp kwenye kifaa chake na ameunganishwa na intaneti. Hata hivyo, haimaanishi kuwa mwasiliani amesoma ujumbe wako.

Kaonwa kunahusu mara ya mwisho mwasiliani alipotumia WhatsApp. Kupitia mipangilio yetu ya faragha, una chaguo la kudhibiti nani anayeweza kuona Kaonwa kwako. Tafadhali zingatia huwezi kuficha kuwamtandaoni kwako. Jifunze zaidi kuhusu mipangilio ya faragha kwenye: Android | iPhone | Windows Phone

Kuna sababu chache kwa nini unaweza kushindwa kuona Kaonwa kwa mwasiliani wako:

  • Wanaweza kuwa wameweka mipangilio yao ya faragha ili kuficha taarifa hii.
  • Inawezekana umeweka mipangilio yako ya faragha ili usishirikishe Kaonwa kwako. Ikiwa hushirikishi Kaonwa kwako, hutaweza kuona Kaonwa kwa waasiliani wengine.
  • Unaweza kuwa umezuiwa.
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti