Kaonwa na mtandaoni hukuambia mara ya mwisho waasiliani wako walitumia WhatsApp, au ikiwa wapo mtandaoni.
Mwasiliani akiwa mtandaoni, amefungua WhatsApp kwenye kifaa chake na ameunganishwa na intaneti. Hata hivyo, haimaanishi kuwa mwasiliani amesoma ujumbe wako.
Kaonwa kunahusu mara ya mwisho mwasiliani alipotumia WhatsApp. Kupitia mipangilio yetu ya faragha, una chaguo la kudhibiti nani anayeweza kuona Kaonwa kwako. Tafadhali zingatia huwezi kuficha kuwamtandaoni kwako. Jifunze zaidi kuhusu mipangilio ya faragha kwenye: Android | iPhone | Windows Phone
Kuna sababu chache kwa nini unaweza kushindwa kuona Kaonwa kwa mwasiliani wako: