Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
AndroidSoga

Jinsi ya kuondoka na kufuta vikundi

Ondoka kwenye kikundi


Ukiondoka kwenye kikundi, utaondolewa kwenye kikundi hicho. Hata hivyo, bado utaona kikundi kwenye tab ya SOGA na unaweza kusoma historia ya soga. Ikiwa wewe tu ndiye mtawala wa kikundi na unaondoka kwenye kikundi, mshiriki atachaguliwa bila mpango kuwa mtawala mpya.

Kuondoka kwenye kikundi:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia kikundi kwenye tab ya SOGA. Kisha gusa Hiari zaidi .
  2. Gusa Ondoka kwenye kikundi > ONDOKA.

Futa kikundi

Baada ya kuondoka kwenye kikundi, una hiari ya kufuta kikundi hicho. Ukifuta kikundi, hautakiona kikundi tena kwenye tab ya SOGA zako na historia ya soga itafutwa. Kufuta kikundi baada ya kuondoka kwenye kikundi:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, gusa na shikilia kikundi kwenye tab ya SOGA.
  2. Gusa Futa kikundi > FUTA.
    • Ikiwa hautaki kufuta media ya kikundi kutoka kwa simu yako, hakikisha kuwa Futa media kutoka kwa simu yangu haijachaguliwa.
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti