Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. KaiOs
  2. Simu za Sauti na Video

Jinsi ya kupiga simu ya sauti

Simu ya sauti inakuruhusu kupigia waasiliani wako simu ya bure kwa kutumia WhatsApp, hata kama upo kwenye nchi nyingine. Kupiga simu ya sauti kunatumia muunganisho wa intaneti wa simu yako badala ya dakika za mpango wako wa simu ya mkononi. Gharama za data zinaweza kutumika.

Unaweza kupiga simu ya WhatsApp kwenye simu ya KaiOS inayotumia toleo la KaiOS la:

  • 2.5.1.2 au jipya zaidi
  • 2.5.2.2 au jipya zaidi
  • 2.5.3 au jipya zaidi

Kupiga simu ya sauti

Piga simu kutoka kwenye kichupo cha Soga
  1. Kwenye kichupo cha Soga, chagua mwasiliani unayetaka kumpigia.
  2. Bonyeza Hiari > Simu ya sauti.

Wakati wa simu, unaweza kuzima au kuwasha sauti ya maikrofoni yako kwa kubonyeza Nyamazisha. Ili ukate simu, bonyeza Kata.

Piga simu kutoka kwenye kichupo cha Simu
  1. Kwenye kichupo cha Simu, bonyeza Simu Mpya.
  2. Chagua mwasiliani unayetaka kumpigia simu ya sauti.
  3. Bonyeza SIMU.

Kujibu simu

Ukipokea simu ya WhatsApp ya sauti inayoingia, unaweza:

  • Kuikubali ili upokee simu hiyo.
  • Kuikata ili usipokee simu hiyo.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti