Jinsi ya kucheza jumbe za sauti
Cheza ujumbe wa sauti
- Chagua ujumbe wa sauti unaotaka kusikiliza.
- Bonyeza CHEZA. Ujumbe wa sauti utachezwa kupitia kwenye spika za simu yako. Ikiwa kipaza sauti cha kichwani kinapounganishwa, jumbe za sauti zitachezwa kwa kupitia kipaza sauti cha kichwani.
Kwenye jumbe za sauti zilizopokelewa utaona:
- Kinasa sauti cha kijani
kwenye jumbe za sauti ambazo hujacheza. - Kinasa sauti cha bluu
kwenye jumbe za sauti ambazo ulicheza.
Kumbuka: Video ifuatayo inawahusu tu watumiaji wa WhatsApp ambao wana JioPhone au JioPhone 2.
Rasilimali zinazohusiana:
- Jinsi ya kutuma jumbe za sauti