Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. KaiOs
  2. Soga

Jinsi ya kutuma midia, waasiliani au mahali

Unaweza kutuma emoji, midia, waasiliani au mahali katika ujumbe wa WhatsApp.

Tuma emoji, midia, waasiliani au mahali

  1. Fungua soga ya WhatsApp.
  2. Bonyeza +.
  3. Chagua unachotaka kutuma, kisha bonyeza:
    • Emoji kuchagua na kutuma emoji.
    • GIF kuchagua na kutuma GIF.
    • Picha kupiga picha kwa Kamera yako au kuchagua picha kutoka kwenye Matunzio. Unaweza pia kuweka muhtasari kwenye picha yako.
    • Video kurekodi video kwa Kamera yako au kuchagua Video kutoka kwenye simu yako. Unaweza pia kuweka muhtasari kwenye video yako.
    • Sauti kutuma faili la sauti lililopo kutoka kwenye simu yako.
    • Waasiliani kutuma maelezo ya waasiliani yaliyohifadhiwa kwenye kitabu cha anwani cha simu yako.
    • Mahali kutuma mahali au eneo la karibu.
  4. Bonyeza Tuma.

Kumbuka: Upeo wa ukubwa wa mafaili yote ya picha, video na sauti unaoruhusiwa kutuma au kusambaza kupitia WhatsApp ni MB 10 kwenye simu zenye MB 512 na MB 5 kwenye simu zenye kumbukumbu ndogo.

Kuhifadhi midia

Kama unataka kuhifadhi midia unayopokea kwenye WhatsApp, bonyeza > Hiari > Mipangilio > Soga > Onyesha maudhui kwenye Matunzio. Picha na video zitahifadhiwa kwenye Matunzio na Video ya simu yako.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti