Unaweza kunyamazisha arifa za soga ya kibinafsi au kikundi kwa muda maalum. Bado utapokea jumbe zilizotumwa kwa soga ya kibinafsi au kikundi, lakini simu yako haitatikisika au kutoa sauti zinapopokelewa.
Mbadala, Fungua soga ya kibinafsi au kikundi. Bonyeza Hiari > Angalia mwasiliani au Habari za Kikundi > Lemaza arifa. Chagua muda ambao ungependa kunyamazisha arifa, kisha bonyeza SAWA.
Mbadala, Fungua soga ya kibinafsi au kikundi. Bonyeza Hiari > Angalia mwasiliani au Habari za Kikundi > Lemaza arifa > Hakuna.