Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. KaiOs
  2. Soga

Jinsi ya kuongeza na kuondoa washiriki

Unaweza kuongeza au kuwaondoa washiriki kwenye kikundi ikiwa wewe ndiwe msimamizi wa kikundi.

Kuongeza washiriki

  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bonyeza Chaguo > Ongeza washiriki.
    • Au, chagua kikundi kwenye orodha yako ya soga. Kisha bonyeza Chaguo > Maelezo ya kikundi > Ongeza washiriki.
  2. Tafuta au chagua waasiliani wa kuweka kwenye kikundi.
  3. Bonyeza Nimemaliza.

Kuondoa washiriki

  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bonyeza Chaguo > Maelezo ya kikundi.
    • Au, chagua kikundi kwenye orodha yako ya soga. Kisha bonyeza Chaguo > Maelezo ya kikundi.
  2. Chagua mshiriki unayetaka kumwondoa.
  3. Bonyeza Chaguo > Ondoa kwenye kikundi > ONDOA.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti