Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
KaiOsAkaunti na Jalada

Jinsi ya kuomba taarifa ya akaunti yako kwenye KaiOS

Kipengele cha kuomba taarifa ya akaunti kinakuruhusu kuomba na kuhamisha ripoti ya akaunti yako ya taarifa ya WhatsApp na mipangilio. Ripoti haitakuwa na ujumbe wako. Kama unahitaji kufikia ujumbe wako kando ya kuwa kwenye programu, unaweza kuhamisha historia yako ya soga badala yake.

Kuomba ripoti

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Bonyeza Hiari > Mipangilio > Akaunti > Omba taarifa ya akaunti.
  3. Chagua na bonyeza Omba ripoti. Skrini itasasishwa kusema Ombi limetumwa.

Kwa kawaida ripoti yako itapatikana baada ya siku tatu baada ya tarehe ulioiomba. Unaweza kurejea kwenye tarehe ambayo Itakuwa tayari unaposubiri ripoti.

Dokezo:

  • Mara unapoomba ripoti, huwezi kutengua au kukatisha ombi lako linalosubiriwa.

  • Kama ukibadilisha nambari yako ya simu au ukifuta akaunti yako, ombi lako linalosubiriwa litabatilishwa na utahitajika kuomba ripoti nyingine.

Kupakua na kuhamisha ripoti

Ripoti yako ikiwa tayari kupakuliwa, utapokea arifa ya WhatsApp kwenye simu yako, inayosema “Ripoti ya taarifa za akaunti yako sasa inapatikana”. Skrini ya Omba taarifa ya akaunti kwenye WhatsApp itakuambia una majuma machache kupakua ripoti yako baada ya kupatikana, kabla haijafutwa kutoka kwa seva. Kwa sababu ripoti hii ina taarifa yako, unapaswa uwe makini unapohifadhi, kutuma au kupakia kwa huduma zingine zozote.

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Bonyeza Hiari > Mipangilio > Akaunti > Omba taarifa ya akaunti.
  3. Chagua na bonyeza Pakua ripoti.
  4. Baada ya faili kupakuliwa, bonyeza Hamisha ripoti > SAWA > SAWA.

Dokezo: Baada ya kupakua ripoti kwenye simu yako, utakua na hiari ya kufuta kabisa nakili ya faili ulilopakua kwenye simu yako kwa kubonyeza Futa ripoti > SAWA kwenye skrini ya Omba habari za akaunti. Kufuta ripoti hakutafuta data yoyote ya akaunti yako ya WhatsApp.

Kutazama ripoti

Hutaweza kutazama ripoti ililopakuliwa kwenye WhatsApp. Kutazama ripoti, utahitaji kuunganisha simu yako kwenye kompyuta.

  1. Kwenye kompyuta, tumia programu ya File Explorer kwenye Windows au pakua programu tumizi ya kuhamisha faili kama Android File Transfer kwenye Mac.
  2. Tumia waya ya USB ili kuunganisha simu yako kwenye kompyuta yako. Kwanza utahitajika kubonyeza Mipangilio kwenye menyu ya programu ya simu > sogeza upande ili kuchagua Hifadhi > chagua na bonyeza Hifadhi ya USB > chagua na bonyeza Wezesha.
  3. Mbadala, unaweza kuingiza kadi ya SD ya simu yako kwenye kompyuta yako. Programu ya kutuma faili itafunguka kiotomatiki kwenye kompyuta.
  4. Kwenye kompyuta, bofya pakua > whatsapp.
  5. Vuta faili la My account info.zip kwenye kompyuta ya eneo kazi.
  6. Ondoa zipu kwenye faili kwa kulifugua. Hii itaunda folda la My account info.
  7. Fungua folda hiyo, kisha fungua faili la HTML ili kutazama taarifa ya akaunti yako.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kuomba taarifa ya akaunti yako

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti