Kila wakati mtu anapoacha kutumia namba ya simu, unapaswa kuhakikisha umefuta namba hiyo kutoka kwenye kitabu cha anwani cha simu yako. Kama ilivyo kawaida kwa watoa huduma za simu hutumia tena namba, unaweza kutambua kwamakosa akaunti kwenye WhatsApp kama akaunti ya rafiki yako, wakati ambapo akaunti ni ya mmiliki mpya wa namba ya simu.
WhatsApp hutumia namba za simu pekee kutambua akaunti na tunaonyesha majina uliyohifadhi kwenye kitabu chako cha anwani kwa waasiliani hao.