Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSimu za Sauti na Video

Jinsi ya kupiga simu ya sauti

Simu ya sauti inakuruhusu kupigia waasiliani wako simu kwa bure kwa kutumia WhatsApp, hata kama upo kwenye nchi nyingine. Kupiga simu ya sauti kunatumia muunganisho wa intaneti wa simu yako badala ya dakika za mpango wako wa simu ya mkononi. Gharama za data zinaweza kutozwa.

Kupiga simu ya sauti

  1. Fungua soga ya kibinafsi na mwasiliani unayetaka kumpigia simu.
  2. Gusa Simu ya sauti.

Mbadala, fungua WhatsApp, kisha gusa kichupo cha Simu gusa > Simu Mpya. Tafuta mwasiliani unayetaka kumpigia simu, kisha gusa Simu ya Sauti.

Kupokea simu ya sauti

Kama simu yako imefungwa, utaona kwenye skrini ya Sauti ya WhatsApp... inaingia wakati mtu anakupigia simu, ambapo unaweza:

  • Kutelezesha kulia sogeza kujibu ili kujibu simu.
  • Kugusa Nikumbushe, kisha chagua kama unataka kukumbushwa Ninapoondoka au Kwa muda wa saa 1.
  • Kukataa simu kwa kubonyeza mara mbili kitufe cha kuwasha iliyopo pembeni mwa iPhone.

Kama simu yako haijafungwa, utaona skrini inayoingia ya Sauti ya WhatsApp... wakati mtu fulani anakupigia simu, ambapo unaweza:

  • Kugusa Kubali.
  • Kugusa Kataa.
  • Kugusa Nikumbushe, kisha chagua kama unataka kukumbushwa Ninapoondoka au Kwa muda wa saa 1.
  • Kugusa Ujumbe kukataa simu kwa ujumbe wa haraka.

Kubadilisha kati ya simu za sauti na simu za video

Kubadilisha kutoka kwa simu ya sauti kwenda kwa simu ya video
  1. Ukiwa kwenye simu ya sauti, gusa simu ya video > Badilisha.
  2. Mwasiliani unayempigia ataona ombi la kubadili kuwa simu ya video na anaweza kukubali au kukataa ubadilisho huo.
Kubadili kutoka kwa simu ya video kwenda kwa simu ya sauti
  1. Unapokuwa kwenye simu ya video, gusa Zima Video, ambayo itamjulisha mwasiliani unayejaribu kuwasilianaye kwa simu ya video.
  2. Mara tu mwasiliani akizima video yake, simu itabadilishwa na kuwa simu ya sauti.
Dokezo:
  • Hakikisha kwamba wewe na waasiliani wako muna muunganisho wa Intaneti imara wakati munapiga au kupokea simu za video za kikundi. Ubora wa simu utategemea mwasiliani mwenye muunganisho dhaifu.
  • Upigaji wa simu unapatikana kwenye iPhone zinazotumia iOS 9 au mpya.
  • Huwezi kufikia nambari za huduma za dharura kupitia WhatsApp kama vile 911 Marekani. Kupiga simu za dharura, lazima ufanye mipango mbadala ya mawasiliano.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kupiga simu ya sauti ya kikundi kwenye: Android | iPhone
  • Jinsi ya kupiga simu ya sauti kwenye Android
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti