Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneUthibitisho

Jinsi ya kuthibitisha namba yako


WhatsApp inahitaji namba ya simu inayofanya kazi ili kuunda akaunti. Ikiwa una matatizo ya kuthibitisha, tafadhali thibitisha yafuatayo:

  • Una toleo la WhatsApp la hivi karibuni la WhatsApp limesakinishwa kutoka kwa Duka la Programu.
  • Umeingiza kwa ukamilifu namba ya simu ya kimataifa, pamoja na msimbo wa nchi (au chagua nchi yako kutoka orodha ya nchi).
    • Mfano wa namba ya simu ya Marekani ni: + 1 408-555-1234.
  • Acha sufuri (0) zozote zinazoongoza au misimbo ya kuondoka kutoka kwenye namba yako.
  • Simu yako ina upatikanaji wa intaneti kamili na ishara yenye nguvu. Jaribu kufungua tovuti ili kuhakikisha.
  • Simu yako inaweza kupokea jumbe za SMS za kimataifa.
  • Hutumii kifaa kisichowezeshwa kama vile iPod touch au iPad.
  • Kifaa chako hakijafunguliwa kihalifu.

Baada ya kuingiza namba yako ya simu, tafadhali subiri SMS ipokelewe kwenye simu yako. SMS itakuwa na msimbo wa uthibitisho wa tarakimu 6, ambao unaweza kuingiza kwenye skrini ya uthibitisho kwenye WhatsApp. Msimbo wa uthibitisho ni wa kipekee na hubadilika kila unapothibitisha namba mpya ya simu au kifaa. Tafadhali usikisie msimbo wa uthibitisho kwani unaweza kufungiwa kwa muda.

Kumbuka: Ikiwa una Kifunguo cha iCloud kilichowezeshwa na ulithibitisha namba hii awali, unaweza kuwa ulithibitishwa kiotomatiki bila kutumia msimbo wa SMS.

Ikiwa hukupokea msimbo wako kupitia SMS, mfumo wetu wa kiotomatiki unaweza kukupigia simu na msimbo wako. Tafadhali subiri muda wa dakika tano ili ukamilike na usihariri namba yako kwa muda huu. Baada ya dakika tano, gusa Nipigie.

Kumbuka: Kutegemeana na mtoa huduma wako, unaweza kupata gharama ya SMS na simu.

Ikiwa umefuata hatua hizi na huwezi kupokea msimbo, tafadhali fanya yafuatayo:

  1. Ondoa WhatsApp kutoka kwa iPhone yako.
  2. Anzisha iPhone yako > zima iPhone yako, kisha iwashe.
  3. Pakua toleo la WhatsApp la hivi karibuni kutoka kwa Duka la Programu.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti