Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneUtatuaji

Jinsi ya kusimamia arifa zako

Mapendeleo ya arifa yanaweza kusimamiwa kwenye mipangilio ya WhatsApp. iPhone itaonyesha kiotomatiki arifa ya msukumo ili kukuarifu kuwa ujumbe unaoingia.

Programu za iOS zinaweza kutoa aina tatu za arifa:

  • Sauti: Arifa ya sauti inacheza.
  • Arifa/Bendera: Arifa au bendera huonekana kwenye skrini.
  • Beji: Picha au nambari huonekana kwenye ikoni ya programu tumizi.

Kufanya mabadiliko kwenye mapendeleo yako ya arifa:

Fungua WhatsApp > gusa Mipangilio > Arifa. Hakiki Onyesha Arifa imewezeshwa kwa Ujumbe na arifa za kikundi.

Tuliza soga za kibinafsi au za kikundi

Unaweza kuzima mtetemo au sauti unayoyapata kwenye programu. Fungua WhatsApp > Mipangilio > Arifa > Arifa Ndani ya Programu.

Tatua matatizo ya arifa

Hakikisha kuwa mipangilio yako ya arifa imewashwa katika mipangilio yako yote ya WhatsApp na iPhone.

Ikiwa umethibitisha kwamba mipangilio yako ya arifa ni sahihi na bado hupokei arifa, hii inawezekana kuwa suala la muunganisho au iOS.

Tafadhali kumbuka kuwa utoaji wa arifa unadhibitiwa kabisa na Huduma ya Arifa ya Msukumo wa Apple (APNS), na WhatsApp haina njia ya kutatua masuala ya huduma hii. Mtu akikutumia ujumbe wakati haupo mtandaoni, ujumbe huo utatumwa kwa APNS kuwasilisha kwa simu yako. WhatsApp haina udhibiti au uonekanaji wa uwasilishaji wa arifa hizi. Tatizo linaweza kujiwasilisha katika WhatsApp, lakini tatizo hili hutoka kwa APNS au iOS.

Kwa kawaida, njia tu ya kutatua tatizo hili ni kurejesha simu kwa mipangilio ya kiwanda na kuweka simu kuwa kama mpya..

Kumbuka: Ukirejesha chelezo, kuna uwezekano utarejesha tatizo hilo pia. Arifa za msukumo zinahitaji kadi ya SIM halali na muunganisho unaofanya kazi wa Wi-Fi au selula.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kunyamazisha au kuruhusu arifa: Android | Web na Desktop
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti