Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneUtatuaji

Matatizo ya muunganisho

Ikiwa huwezi kuungana na WhatsApp, kwa kawaida hii inasababishwa na matatizo ya muunganisho wa Intaneti au mipangilio ya simu yako. Inawezekana kuwa sio lazima kufuta na kusakinisha upya WhatsApp.

Utatuaji

Masuala mengi ya muunganisho yanaweza kusuluhishwa kwa kufanya yafuatayo:

  • Anzisha upya simu yako, kwa kuizima na kuiwasha.
  • Sasisha WhatsApp na toleo la hivi karibuni linalopatikana kwenye Duka la Programu la Apple.
  • Fungua iPhone Mipangilio washa na zima Modi ya Ndege.
  • Fungua iPhone Mipangilio > gusa Selula na washa Data ya Selula.
  • Fungua iPhone Mipangilio > gusa Wi-Fi zima na washa Wi-Fi.
  • Jaribu kuunganisha kwenye eneo lenye wavuti la Wi-Fi tofauti.
  • Hakikisha Wi-Fi inabaki imewashwa wakati upo kwenye modi ya kulala.
  • Washa upya kipanga njia cha Wi-Fi.
  • Wasiliana na mtoa huduma wako wa simu na hakikisha mipangilio yako ya APN imesanidiwa kwa usahihi.
  • Fungua iPhone Mipangilio > gusa Jumla > Anzisha > Anzisha Mipangilio ya Mtandao > Anzisha Mipangilio ya Mtandao. (Hii itafuta nywila zako zote za Wi-Fi zilizohifadhiwa).
  • Boresha au rejesha mfumo wa uendeshaji wa iPhone kwa toleo la hivi karibuni linalopatikana kwenye simu yako.
  • Ikiwa unatumia iPhone isiyofungwa au kadi ya SIM iliyolipiwa, unaweza kuhitaji kurekebisha mipangilio ya simu yako ya APN ya kadi yako ya SIM. Wasiliana na mtoa huduma wa selula kwa maelezo na maelekezo.
  • Ukiwa unapata shida kuunganisha na WhatsApp unapokuwa kwenye mtandao wa Wi-Fi ambao huunganishi nao kwa kawaida, wasiliana na mtawala wa mtandao.
  • Hakikisha kuwa muunganisho wako haiko kwenye mtandao wa Wi-Fi unaosimamiwa, kama vile ofisini kwako au chuo kikuu. Mtandao wako unaweza kuwa umesanidiwa kuzuia au kukomesha miunganisho.
  • WhatsApp haijaundwa kutumia huduma za wakala au VPN, kwa hivyo hatuwezi kutoa msaada kwa ajili ya maandalizi hayo.
  • Zima kuranda.

Kwa matatizo ya kupokea taarifa za ujumbe za WhatsApp, soma makala hii.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti