Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneUsalama na Faragha

Viungo tuhuma

Kwa viungo vingine unavyopokea kwenye soga, unaweza kuona kiashirio cha kiungo tuhuma.

Kiashirio hiki kinaweza kuonekana wakati kiungo kina mchanganyiko wa herufi ambazo huchukuliwa kuwa za kawaida. Watumaji wa spamu au barua taka wanaweza kutumia mchanganyiko wa herufi hizi ili kukudanganya kugusa viungo vinavyoonekana kwenda kwenye tovuti halali, lakini kwa kweli hukupeleka kwenye tovuti mbovu.

Hapa kuna mfano wa kiungo tuhuma:

https://ẉhatsapp.com/free-tickets

Kumbuka: Herufi ya kwanza inaonekana kama "w" lakini ni herufi "ẉ", inamaanisha kuwa mtumaji spamu au barua taka amekudanganya ili uzuru tovuti hiyo ambayo haihusiani na WhatsApp.

Wakati unapokea viungo, uangalie kwa makini maudhui ya ujumbe. Ikiwa kiungo kina alama ya tuhuma, unaweza kugusa kiungo na ujumbe ibukizi utaonekana, ukionyesha herufi zisizo za kawaida ndani ya kiungo. Kisha unaweza kuchagua kufungua kiungo au kurudi kwenye soga.

WhatsApp kiotomatiki kufanya ukaguzi ili kuamua kama kiungo ni tuhuma. Ili kulinda faragha yako, ukaguzi huu hufanyika kikamilifu kwenye kifaa chako, na kwa sababu ya ufumbaji wa moja-kwa-moja, WhatsApp haiwezi kuona maudhui ya ujumbe wako.

Kujifunza zaidi kuhusu jinsi ya kukaa salama kwenye WhatsApp, soma nakala hii.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti