Alama za kuangalia zitatokea karibu na kila ujumbe utakayo tuma. Kila mmoja itaonyesha yafuatayo:
Katika soga ya kikundi, alama ya pili ya uhakiki inaonekana wakati washiriki wote katika kikundi wamepokea ujumbe wako. Alama za kuangalia za bluu zinaonekana wakati washiriki wote katika kikundi wameusoma ujumbe wako.
Kwa ujumbe wowote unaotuma, utaweza kuona skrini ya maelezo ya ujumbe, inayoonyesha maelezo ya wakati ujumbe wako uliwasilishwa, kusomwa au kuchezwa na mpokeaji.
Kuangalia skrini ya maelezo ya ujumbe:
Skrini ya Maelezo ya ujumbe inaonyesha:
Umewasilishwa:
Umesomwa au Umeonwa:
Ulichezwa:
Kumbuka: Mshiriki anapoondoka kwenye kikundi, skrini ya maelezo ya ujumbe bado itaonyesha maelezo mwanzo na washiriki wote, ikiwa ni pamoja na mshiriki ambaye ameondoka kwenye kikundi.
Ikiwa huoni alama za uhakiki za bluu karibu na ujumbe uliotuma:
Kuzima taarifa za kusomwa zako, nenda kwenye Mipangilio > Akaunti > Faragha na lemaza Taarifa za Kusomwa.
Kumbuka: Hii haiwezi kulemaza taarifa za kusoma za soga za kikundi au taarifa za kucheza kwa ujumbe wa sauti. Hakuna njia ya kuzima mipangilio hiyo.