Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneUsalama na Faragha

Jinsi ya kuangalia taarifa za kusomwa

Alama za kuangalia zitatokea karibu na kila ujumbe utakayo tuma. Kila mmoja itaonyesha yafuatayo:

  • Ujumbe umefanikiwa kutumwa.
  • Ujumbe umefanikiwa kuwasilishwa kwenye simu ya mpokeaji.
  • Mpokeaji amesoma ujumbe wako.

Katika soga ya kikundi, alama ya pili ya uhakiki inaonekana wakati washiriki wote katika kikundi wamepokea ujumbe wako. Alama za kuangalia za bluu zinaonekana wakati washiriki wote katika kikundi wameusoma ujumbe wako.

Maelezo ya ujumbe

Kwa ujumbe wowote unaotuma, utaweza kuona skrini ya maelezo ya ujumbe, inayoonyesha maelezo ya wakati ujumbe wako uliwasilishwa, kusomwa au kuchezwa na mpokeaji.

Kuangalia skrini ya maelezo ya ujumbe:

  1. Fungua soga ya kibinafsi au kikundi.
  2. Telezesha ujumbe kutoka kulia kwenda kushoto.
  3. Mbadala, gusa na shikilia ujumbe uliotuma na chagua Maelezo kutoka kwa menyu.

Skrini ya Maelezo ya ujumbe inaonyesha:

Umewasilishwa:

  • Ujumbe wako umewasilishwa kwa simu ya mpokeaji wako, lakini mpokeaji hajauona bado.

Umesomwa au Umeonwa:

  • Mpokeaji amesoma ujumbe wako au kuona picha yako, faili la sauti au video.
  • Mpokeaji ameona ujumbe wako wa sauti, lakini bado hajaucheza.

Ulichezwa:

  • Mpokeaji amecheza ujumbe wako wa sauti.

Kumbuka: Mshiriki anapoondoka kwenye kikundi, skrini ya maelezo ya ujumbe bado itaonyesha maelezo mwanzo na washiriki wote, ikiwa ni pamoja na mshiriki ambaye ameondoka kwenye kikundi.

Kukosa taarifa za kusomwa

Ikiwa huoni alama za uhakiki za bluu karibu na ujumbe uliotuma:

  • Inawezekana wewe au mpokeaji amelemaza taarifa za kusomwa kwenye mipangilio ya faragha.
  • Inawezekana mpokeaji amekuzuia.
  • Inawezekana simu ya mpokeaji imezimwa.
  • Inawezekana mpokeaji hajafungua mazungumzo yako.
  • Inawezekana wewe au mpokeaji mna matatizo ya muunganisho.

Zima taarifa za kusomwa

Kuzima taarifa za kusomwa zako, nenda kwenye Mipangilio > Akaunti > Faragha na lemaza Taarifa za Kusomwa.

Kumbuka: Hii haiwezi kulemaza taarifa za kusoma za soga za kikundi au taarifa za kucheza kwa ujumbe wa sauti. Hakuna njia ya kuzima mipangilio hiyo.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti