Nibadiisheje ukubwa wa maandishi kwenye WhatsApp?
WhatsApp inatumia ukubwa wa maandishi unayochagua kwenye maandishi ya iPhone yako. Kubadili ukubwa wa maandishi ndani ya WhatsApp:
- Nenda kwenye Mipangilio ya iPhone
. - Gusa Uonyesho & Uangazi > Ukubwa wa Maandishi.
- Sogeza kitelezesho kurekebisha ukubwa wa maandishi.
Kumbuka:
- Ukiwasha Ukubwa wa Upatikanaji Mkubwa kwenye Mipangilio ya iPhone
> Jumla > Upatikanaji > Maandishi Makubwa, hautaweza tena kuona picha za jalada na ikoni za vikundi kwenye WhatsApp. Tabia hii ni sawa na Jumbe za iPhone kutoa uonyesho ambao ni rahisi-kusoma. - WhatsApp haiwezeshi maandiko ya kipekee.