Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneUpakuaji na Usakinishaji

Jinsi ya kuhamisha akaunti yako ya WhatsApp Messenger kuenda kwa WhatsApp Business

Kuhama kutoka kwa WhatsApp Messenger kuenda kwa WhatsApp Business ni haraka, rahisi, na kunaaminika.

Hivi ndivyo unavyofanya:

  1. Sasisha WhatsApp Messenger na pakua WhatsApp Business kutoka kwa Duka la Programu.
  2. Fungua WhatsApp Business.
  3. Soma Masharti ya Huduma ya WhatsApp Business. Gusa Kubali na Endelea kukubali masharti.
  4. WhatsApp Business hutambua kiotomatiki namba unayotumia katika kwenye WhatsApp Messenger. Kuendelea, gusa hiari ya namba yako ya biashara.
    • Ikiwa namba inayoonekana sio namba unayotaka kutumia, gusa TUMIA NAMBA TOFAUTI na pitia njia ya kawaida ya mchakato wa uthibitisho.
  5. Ingiza msimbo wa tarakimu-6 ya SMS kuthibitisha namba yako.
    • Hutahitaji kukamilisha hatua hii ikiwa kifunguo cha iCloud kimewezeshwa na umehakikisha namba hii kwenye simu moja kabla.
  6. Unda jalada lako la biashara > gusa Imekamilika.
    • Unaweza kuendelea kuhariri jalada lako la biashara mara tu akaunti yako ya WhatsApp Business ni amilifu.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Kuhusu kuhamisha WhatsApp Messenger kuenda kwa WhatsApp Business.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti