Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. iPhone
  2. Waasiliani

Sioni anwani

Kwa hali bora ya utumiaji, tunapendekeza uruhusu WhatsApp ifikie anwani zako.

Kuruhusu ufikiaji wa anwani zako

  1. Nenda kwenye Mipangilio ya iPhone > Faragha.
  2. Gusa Anwani.
  3. Hakikisha WhatsApp imewashwa.

Ikiwa WhatsApp ina rangi ya kijivu au haionekani katika mipangilio ya faragha, hakikisha huna vizuizi vyovyote vilivyowekwa kwenye Mipangilio ya iPhone > Muda wa Skrini > Vizuizi vya Maudhui na Faragha. Vinginevyo, unaweza kuhitaji kurejesha mipangilio asili ya simu yako. Tafadhali tembelea tovuti ya Msaada wa Apple kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuhifadhi nakala na kurejesha maelezo yako.

Ukiikataza WhatsApp ruhusa ya kuzifikia anwani kwenye simu yako, bado utaweza:

  • Kupokea ujumbe kutoka kwa watumiaji wengine wa WhatsApp na vikundi.
  • Kubadili mipangilio ya WhatsApp.

Hutaweza:

  • Kuona majina yeyote na utaona tu namba za simu.
  • Kuanzisha Vikundi vipya au Orodha mpya za Matangazo.

Kutoonekana kwa anwani

Ikiwa huoni baadhi ya watu unaowasiliana nao kwenye WhatsApp, jaribu yafuatayo:

Kwa anwani za kimataifa:

  • Hakikisha kwamba umeweka namba sahihi ya simu katika mfumo kamili wa kimataifa.

Ikiwa watumiaji ambao huwaoni wamehifadhiwa katika akaunti ya Exchange, msimamizi wa akaunti yako anaweza kuwa haruhusu WhatsApp au programu nyngine kufikia anwani zako. Unaweza kusuluhisha hali hii kwa:

  • Kunakili anwani zako za Exchange kwenda katika kitabu cha anwani cha simu yako au iCloud.
  • Kumwomba msimamizi wako wa TEHAMA afanye WhatsApp iwe programu inayosimamiwa kwenye iPhone yako.

Kumbuka:

  • Akaunti za Exchange zinawezekana kuwa ni akaunti za kazi.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti