Kwa uzoefu mzuri, tunapendekeza kuruhusu WhatsApp kufikia waasiliani wako.
Ikiwa WhatsApp imewekewa kijivu au haionekani katika mipangilio ya faragha, hakikisha hauna vizuizi vyovyote vilivyowekwa kwenye Mipangilio ya iPhone > Muda wa Skrini > Vizuizi vya Maudhui & Faragha. Vinginevyo, unaweza kuhitaji kurejesha simu yako. Tafadhali tembelea tovuti ya Msaada ya Apple kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kucheleza na kurejesha maelezo yako.
Ukikataza WhatsApp upatikanaji wa waasiliani wa simu yako, bado utaweza:
Hutaweza:
Ikiwa huwezi kuona baadhi ya waasiliani wako kwenye WhatsApp, jaribu yafuatayo:
Kwa waasiliani wa kimataifa:
Kama unatumia toleo la iOS 11.3 au la juu, na waasiliani wanaokosekana wamehifadhiwa katika akaunti ya Exchange, msimamizi wa akaunti yako anaweza kuwa haruhusu WhatsApp au programu zingine kufikia waasiliani wako. Unaweza kusuluhisha hili kwa:
Dondoo: