Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. iPhone
  2. Soga

Jinsi ya kutumia vibandiko


Kupakua na kutumia vibandiko:

  1. Fungua soga ya binafsi au ya kikundi.
  2. Kuongeza vifurushi vya vibandiko, gusa Vibandiko > Ongeza.
  3. Gusa Pakua karibu na kifurushi cha vibandiko unachotaka kupakua. Ukiulizwa, gusa Pakua • {ukubwa wa faili}.
    • Alama ya tiki itatokea mara tu upakuaji utakapokamilika.
  4. Telezesha chini kwenye ibukizi la Vibandiko.
  5. Tafuta na uguse kibandiko unachotaka kutuma.

Baada ya kugusa kibandiko, kitatumwa kiotomatiki.

Hiari zaidi:
  • Gusa Hivi karibuni ili uone vibandiko ulivyotumia hivi karibuni
  • Gusa Vipendwa ili uone vibandiko unavyopendelea.
    • Kufanya kibandiko kiwe kwenye vipendwa, gusa kibandiko juujuu katika soga ya binafsi au ya kikundi > Ongeza kwenye Vipendwa. Au, gusa Vibandiko. Gusa na ushikilie kibandiko, kisha uguse Ongeza kwenye Vipendwa.
    • Kuondoa kibandiko kwenye vipendwa, gusa kibandiko juujuu kwenye soga ya binafsi au ya kikundi > Ondoa kwenye Vipendwa. Au, gusa Vibandiko > Vipendwa. Gusa na ushikilie kibandiko, kisha uguse Ondoa kwenye Vipendwa.
  • Gusa Tafuta ili utafute kibandiko mahususi ulichokipakua. Unaweza kutafuta vibandiko kwa kutumia maandishi au emoji.
    • Kumbuka: Vibandiko unavyopakua nje ya WhatsApp huenda visiweze kutafutika ikiwa muundaji wa kibandiko hakufuata miongozo ya WhatsApp ya kuwekea vibandiko lebo.
    • Utafutaji wa vibandiko hufanyika nje ya mtandao kabisa. WhatsApp haikusanyi taarifa kuhusu utumiaji wako wa utafutaji wa vibandiko au maneno ya msingi unayotumia wakati wa kutafuta vibandiko.
  • Vibandiko vimewekwa kwenye makundi kwa kutegemea emoji zinazoonekana kwenye aikoni. Gusa kisanduku cha moyo ili uone makundi ya vibandiko.
  • Ili uone vifurushi vya vibandiko ambavyo umepakua, gusaOngeza > Vibandiko Vyangu.
    • Ukitaka kufuta kifurushi fulani cha kibandiko, gusa kifurushi husika cha vibandiko > Futa > Futa.
    • Kubadilisha mpangilio wa vifurushi vyako vya vibandiko, gusa Hariri. Kisha, gusa na ushikilie Panga upya karibu na kifurushi cha vibandiko halafu kiburute juu au chini.
  • Ili usasishe vifurushi vya vibandiko, gusa Ongeza pindi ukiona kitone cha buluu. Kwenye kichupo cha Vibandiko Vyote, gusa SASISHA iliyo karibu na vifurushi vya vibandiko vinavyohitaji kusasishwa. Ukiulizwa, gusa Sasisha • {ukubwa wa faili}.
    • Alama ya tiki itatokea mara tu usasishaji utakapokamilika.

Vibandiko vinapatikana kwenye matoleo ya hivi karibuni ya WhatsApp. Kama huoni vibandiko, tafadhali hakikisha unasasisha na kupata toleo jipya la WhatsApp.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kuunda vibandiko
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti