Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kutumia mahali mubashara

Kipengele cha mahali mubashara kinakuruhusu kushirikisha mahali pako halisi kwa kiasi maalum cha muda na washiriki wa soga ya kibinafsi au kikundi. Unaweza kudhibiti kama unataka na kwa muda gani unataka kushirikisha mahali pako mubashara. Pia unaweza kusitisha kushirikisha mahali mubashara wakati wowote. Unaposimamisha au muda ukiisha, mahali pako mubashara hapataendelea kushirikishwa. Watu mulioshirikiana kwa mahali mubashara wataendelea kuona mahali pako ulipo shirikisha kama picha ya alama ya kidole, na wanaweza gusa picha kuona mahali pako pa mwisho.

Kipengele hiki kina ufumbaji wa mwisho-mwisho, ambayo inamaanisha hakuna mtu anayeweza kuona mahali mubashara isipokuwa watu uliowashirikishia. Kujifunza zaidi kuhusu usalama kwenye WhatsApp, tafadhali tembelea Usalama wa WhatsApp. Unaweza pia kusoma Sera yetu ya Faragha kwa maelezo zaidi kuhusu mazoezi ya faragha ya WhatsApp.

Shirikisha mahali pako mubashara

  1. Wezesha ruhusa za mahali kwa WhatsApp kwenye simu yako Mipangilio kwa kugusa Faragha > Huduma za mahali > WhatsApp > Kila mara. Mbadala, nenda kwenye Mipangilio ya simu yako > WhatsApp > Mahali > Kila mara.
  2. Kufungua soga ya kibinafsi au kikundi.
  3. Gusa Ambatanisha > Mahali > Shirikisha mahali mubashara.
  4. Chagua urefu wa muda utakaopenda kushirikisha mahali pako mubashara. Mahali mubashara pako pataacha kushirikishwa baada ya muda uliyochagua.
    • Kwa hiari, ongeza maoni.
  5. Gusa Tuma.

Kuacha kushirikisha mahali mubashara pako

Acha kushirikisha mahali pako mubashara katika soga fulani ya kibinafsi au kikundi

  1. Fungua soga ya kibinafsi au kikundi.
  2. Gusa Acha Kushirikisha > Acha Kushirikisha.

Acha kushirikisha mahali pako mubashara katika soga zote za kibinafsi au vikundi

  1. Nenda kwa Mipangilioya WhatsApp > Akaunti > Faragha > Mahali Mubashara.
  2. Gusa Acha Kushirikisha > Acha Kushirikisha.

Kumbuka:

  • Unaweza kulemaza ruhusa za mahali kwenye WhatsApp wakati wowote kwa kwenda kwenye Mipangilio ya simu yako > Faragha > Huduma za mahali > WhatsApp > Kamwe.
  • Mbadala, nenda kwenye Mipangilio ya simu yako > WhatsApp > Mahali > Kamwe.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kutumia mahali mubashara kwenye Android

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti