Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kutumia orodha ya tangazo

Kwa kipengele cha orodha ya tangazo unaweza kutuma ujumbe kwa waasiliani wako kadhaa kwa mara moja. Orodha za tangazo ni orodha zilizohifadhiwa za wapokeaji wa ujumbe ambao unaweza kuwatumia mara kwa mara tangazo za jumbe bila kuwachagua kila mara.

Unda Orodha ya tangazo

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Orodha za Tangazo juu ya skrini ya Soga.
  3. Gusa Orodha Mpya iliyopo chini ya skrini ya Orodha ya Tangazo.
  4. Tafuta au chagua waasiliani unaotaka kuwaongeza.
  5. Gusa Unda.

Hii itaunda Orodha mpya ya tangazo. Unapotuma ujumbe kwa orodha ya tangazo, itatuma kwa wapokeaji wote ambao wamehifadhi namba yako kwenye vitabu vya anwani kwenye simu zao. Wapokeaji watapokea ujumbe kama ujumbe wa kawaida. Wakijibu, ujumbe utaonekana kama ujumbe wa kawaida kwenye skrini yako ya Soga. Majibu yao hayatatumwa kwa wapokeaji wengine kwenye orodha ya tangazo.

Kumbuka: Waasiliani tu waliokuongeza kwenye kitabu cha anwani cha simu zao watapokea ujumbe wako wa tangazo. Ikiwa mwasiliani wako hapokei jumbe za matangazo yako, angalia kuhakikisha kuwa wamekuongeza kwenye vitabu vyao vya anwani. Orodha za tangazo ni mawasiliano ya moja-kwa-wengi. Ukitaka wapokeaji washiriki kwenye mazungumzo ya kikundi, unapaswa kuunda soga ya kikundi badala yake.

Hariri orodha ya tangazo

  1. Fungua Orodha za Tangazo zako.
  2. Gusa ikoni ya "i" karibu na orodha unayotaka kuhariri.
  3. Kwenye skrini ya Orodha ya Maelezo, unaweza:
    • Kubadilisha jina la orodha ya tangazo.
    • Kuongeza au ondoa wapokeaji kutoka kwa orodha kwa kugusa Hariri orodha....

Futa orodha ya tangazo

  1. Gusa kitufe cha Orodha za Tangazo kilichopo juu ya skrini ya Soga.
  2. Telezesha upande wa kushoto wa orodha ya tangazo unalotaka kufuta.
  3. Gusa Futa.

Mbadala, gusa Hariri, halafu "–" ikoni karibu na orodha unayotaka kufuta > Futa.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti